Tangaza Nasi

Tovuti hii inatembelewa na watu wengi kila mwezi; Kwa sababu ya wingi wa watembeleaji  utapata fursa ya kutangaza bidhaa,huduma na matukio yako. Utaweza  kutengeneza  matangazo ambayo yatawafikia na kukidhi mahitaji ya  watembeleaji wa tovuti hii ambao wengi wao ni watu wenye nia ya ujasiriamali, uwekezaji na kupata taarifa ya bidhaa na teknolojia rafiki kwa biashara zao na maisha yao.


Wauzaji wa vitabu,waandaji wa makongamano ya ujasiriamali, uwekezaji au vijana watanufaika sana kwa kutangaza kupitia tovuti hii.   Pia wauzaji wa bidhaa mbalimbali watanufaika kwa  kutumia tovuti kama njia moja wapo ya kutangaza bidhaa na huduma zao.


Aina ya matangazo yatakayo kubalika katika tovuti hii:


  • Matangazo ya picha - Juu kabisa mwa Tovuti.

  • Matangazo ya picha au maneno ndani ya Makala.

  • Matangazo ya picha au maneno pembezoni mwa tovuti upande wa kulia.

  • Uandishi wa makala kuhusu bidhaa au huduma yako. (Sponsored content).


Kama unapenda kutangaza kwenye tovuti hii wasiliana nasi:


Simu: +255 767 840 494

Popular posts from this blog

Namna Ya Kuanzisha Biashara

Biashara Ya Mbao.

Mambo muhimu kuhusu mkopo - Sehemu ya 1