Skip to main content

Posts

Showing posts from November, 2015

Tanzania investment guide - Tanzania investment centre

Tanzania Investment Centre has put together a guide indicating various investment opportunities in Tanzania. We have attached the guide for you in this post;Please click on the pdf image below to download the guide. We hope you find it informative and helpful in your investment decisions.

Investment opportunities in Tanzania - Agriculture

Attached is a pdf file indicating various investment related information and opportunities as released by the government of Tanzania.

Miundombinu ya uwekezaji - Part 2

Tunaendelea na Ujenzi wa Miundombinu ya uwekezaji: Ili kujua ni aina gani ya miundombinu na yenye kiwango gani unatakiwa kuijenga ni lazima kwanza ujue ni uwekezaji wa ukubwa gani unaouhitaji hapo baadaye na ni aina gani ya sekta unayotaka kuwekeza, kama ilivyo kwa ujenzi wa majengo makubwa msingi ndio unao amua urefu na ukubwa wa jengo kadhalika katika uwekezaji miundombinu unayoiandaa tangu mwan zo ndio inayoamua ukubwa wa miradi unayoikusudia. Jana nilipata nafasi ya kuitazama vizuri treni iliyokuwa ikipita umbali kama mita tatu hivi toka nilipokuwa nikajuliza maswali kadhaa 1. Kipi kilitangulia kati ya ujenzi wa Reli na ununuzi wa Treni na behewa zake ? 2. Kipi kinamwongoza mwenzie (amua mwelekeo) Je, ni treni ? au reli ? 3. Kipi kinaamua ukubwa na uzito wa mzigo unaobebwa je ni treni ama reli ? kama ingekuwa ni treni kuna ulazima gani wa Serikali yetu leo kujenga reli mpya kwa kiwango cha "Standard gauge " ? Kwa maswali hayo nilijiridhisha kwamba miund

Ujenzi wa misingi ya uwekezaji

Kila aina ya uwekezaji ili uwe na tija ni lazima kwanza miundombinu muhimu ya kuuwezesha kufanya kazi iwepo, bila hivyo tutazidi kushuhudia mitaji mingi ikipotea, na tayari tumeshuhudia biashara nyingi na uwekezaji mwingi unafanyika lakini baada ya siku au miaka kadhaa yote inakufa, hii ni kutokana na kukosa kuandaa miundombinu itakayoendelea kuleta uhai kwenye uwekezaji, Ni lazima miundombinu ya msingi iandaliwe kama vile: 1. Kusuka mfumo imara wa kupata taarifa za muhimu na wakati wowote juu ya sekta unayohitaji kuwekeza. 2.Kuandaa/ kutengeneza watu sahihi watakao kusaidia katika kila hatua ya uwekezaji utayoifikia, kuna baadhi ya uwekezaji unahitaji kutumia watu wengi wenye ujuzi na uzoefu mbalimbali na watu hawa kila mmoja ana nafasi yake kulingana na hatua ya mradi ulipofikia 3. Kujijengea uwezo wa kiufahamu, maarifa na uelewa wa sekta husika, ni lazima utafute ujuzi wa kutosha juu ya sekta hiyo ikiwemo kufahamu, jinsi ya kuendesha na kuisimamia miradi hiyo,