Namna ya utengeneza chapa ya biashara yako ni muhimu sana ili uweze kuliteka soko la bidhaa/huduma unayoiuza. Ni mchakato wa kutengeneza utambulisho wa pekee ili kijitofautisha wa washindani wako sokoni. Chapa (brand) nzuri inavutia wateja wako na kuwasaidia kuweza kukuamini katika biashara yako kujenga chapa (brand) sio jambo jepesi lakini ni kitu ambacho kinawezakana na ni muhimu kwaajili ya mafanikio ya muda mrefu katika biashara yako. Biashara ambayo imejengewa brand nzuri ina vutia wateja wengi na ambao ni sahihi kwaajili ya biashara. Ili kujenga brand inahitaji kujua aina ya wateja ambao unawakusudia, kujua mahitaji yao na vitu wanavyopendelea. Katika makala hii tutajifunza namna ya kutengeneza brand ya biashara yako. Haijalishi wewe ni mtu mwenye biashara mpya sokoni au umekuwepo sokoni kwa muda mrefu lakini ukweli ni kwamba kutengeneza brand ya pekee ni suala muhimu. Namna ya kutengeneza brand. i. Kabla ya kuanza kubrand biashara yako ni muhimu kuwa na uelewa wa kutosha kuhusi
Jukwa maalumu kwaaji ya kujifunza masuala mbalimbali kuhusu biashara na ujasiriamali