Safari ya ujasiriamali ni safari kama zilivyosafari nyingine katika maisha ya mwanadamu
Kuna mambo ya muhimu unapaswa kufahamu kama mjasiamali ili uweze kusafiri vizuri katika shughuli zako
1. Safari yako ni lazima iwe na hatima lakini ni lazima uone hatima ya safari yako mwanzoni.
2. Safari yako ni ya pekee, namna utakavyo safiri ni tofauti na wajasiriamali wengine.
3. Umbali wa safari yako ni tofauti na safari za watu wengine.
4. Katika safari kuna changamoto mbalimbali ambazo huna budi kukabiliana nazo ilikufikia hatima yako.
5. Katika safari yako ni lazima kufuata sheria za mamlaka husika ilikuepuka usumbufu na adhabu zinazoweza kuzuia kufika au kukuchelesha kufikia hatima yako.
Itaendelea
Imeandikwa na
James Albert
Whatsapp namba +255717162510
Barua pepe jamesalbert157@gmail.com
Comments
Post a Comment